Top Stories

‘Ni jukumu langu ndio maana nilipotamka mgonjwa akapelekwa kalantini’- RC Makonda

on

NI Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ambae siku kadhaa zilizopita alizua mijadala mitandaoni baada ya kuweka wazi mtoto wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni Freeman Mbowe kuwa mwanae aitwae  Dudley kupata maambukizi ya virusi vya  Corona.

Sasa leo RC Makonda amekaa kwenye Ayo TV na kutolea ufafanuzi kwanini alichukua maamuzi na kumtaja hadharani, msikilize hapa ujionee alichozungumza mwanzo mwisho

Soma na hizi

Tupia Comments