Mix

VIDEO: Dakika 10 za Hussein Bashe kuhusu bajeti Wizara ya fedha

on

Mbunge wa Nzega Mjini Hussein Bashe ni miongoni mwa Wabunge waliosimama Bungeni Dodoma May 31, 2017 akiitumia nafasi hiyo kuchangia mapendekezo yake katika Bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango na hapa anazo dakika zake Kumi.

MAAJABU: Hamjui Mwanaume miaka mitatu lakini kapata mimba

Soma na hizi

Tupia Comments