Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: PICHA: Baada ya miaka miwili ya kutokuongea, Nicki Minaj na Drake wamekutana
Share
Notification Show More
Latest News
Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”
January 27, 2023
Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa
January 27, 2023
Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa
January 27, 2023
Mkali Lord Eyez ametuletea hii collabo yake akiwa na Adiana Ross
January 27, 2023
Picha: Mwili wa Mtanzania aliefia kwenye vitani urusi, waagwa kwa picha nyumbani kwao
January 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > PICHA: Baada ya miaka miwili ya kutokuongea, Nicki Minaj na Drake wamekutana
Mix

PICHA: Baada ya miaka miwili ya kutokuongea, Nicki Minaj na Drake wamekutana

February 2, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Ni miaka miwili  tangu mastaa Nicki Minaj na Drake wote kutokea kwenye label moja ya YMCMB kuonekana pamoja kwa kile kilichodaiwa kuwa Nicky aliamua kujiweka mbali na Drake ili asimkasirishe boyfriend wake, Meek Meel ambaye amekuwa kwenye ugomvi na Drake kwa muda.

Baada ya Nicki kuachana na Meek Mill wiki chache zilizopita, ameonekana kwenye picha moja na Drake kupitia page zao za Instagram ambapo wote wawili walipost picha mbili wakiwa pamoja na nyingine Lil Wayne.

Drake alivyopost hii picha akiwa na Nicki Minaj na Wayne aliandika ‘BIG 3’

EXCLUSIVE: Wema Sepetu aeleza kwanini alifuta picha zote Instagram, bonyeza play kwenye hii video hapa chini

You Might Also Like

Fredy Lowassa akabidhi vifaa vya shule kwa waliofauli 2023

Gynah ni mwimbaji wa kimataifa kenye usiku wa Kahawa

PICHA: Jerry Muro akabidhi madarasa 29 kwa RC Singida

Samsung wafungua duka lao ndani ya Palm village Mikocheni

Hatimaye Miss Tanzania 2020 akabidhiwa zawadi yake

TAGGED: trendingworldwide
Admin February 2, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Upepo mkali wang’oa paa kwenye jengo la Bunge, ukarabati unaendelea
Next Article VIDEO: Nyuma ya camera tukionyeshwa wanavyotengeneza Filamu za Action huko kwa Trump
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”
Top Stories January 27, 2023
Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa
Top Stories January 27, 2023
Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa
Entertainment January 27, 2023
Mkali Lord Eyez ametuletea hii collabo yake akiwa na Adiana Ross
Entertainment January 27, 2023

You Might also Like

Entertainment

Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa

January 27, 2023
Entertainment

Warembo wanaounda kundi la Tango Supreme kutumbuiza Dar, 27th Jan Elements Masaki

January 27, 2023
Entertainment

Mabibi na Mabwana Nuh Mziwanda ametuletea hii single mpya ‘Nikizipata’

January 26, 2023
Entertainment

PROFILE: Mfahamu Vido Vidox, ripota wa Ayo TV kwa stori za mastaa!!

January 26, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?