Habari za Mastaa

Nick Minaj amekuwa rapper wa kwanza wa kike kuwa na utajiri huu

on

Nick Minaj ndiye rapper wa kwanza wa Kike kufikisha utajiri wa Dola Milioni 100 ambazo ni sawa na Bilioni 230 za Kitanzania, wamethibitisha Label ya Young Money kupitia twitter.

Fedha hizo zimetokana na mauzo ya kazi zake za muziki vile vile uwekezaji nje ya muziki

 

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments