Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Nicki Minaj alipigwa STOP kuperform Angola jumamosi hii! Show itaendelea?!
Share
Notification Show More
Latest News
Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”
January 27, 2023
Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa
January 27, 2023
Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa
January 27, 2023
Mkali Lord Eyez ametuletea hii collabo yake akiwa na Adiana Ross
January 27, 2023
Picha: Mwili wa Mtanzania aliefia kwenye vitani urusi, waagwa kwa picha nyumbani kwao
January 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > Nicki Minaj alipigwa STOP kuperform Angola jumamosi hii! Show itaendelea?!
Habari za Mastaa

Nicki Minaj alipigwa STOP kuperform Angola jumamosi hii! Show itaendelea?!

December 17, 2015
Share
2 Min Read
SHARE

Msanii kutokea Marekani, Nicki Minaj jana aliziandika headlines kwenye kurasa za burudani baada ya taarifa kusambaa kuwa amepigwa stop kwenda kutoa show Angola jumamosi ya tarehe 19 December wiki hii, kutokana na Wanaharakati wa haki za binadamu nchini Angola kupinga kufanyika kwa show hiyo.

Angola3

Wanaharakati hao walimuandikia Nicki Minaj barua kumuomba rapper huyo asitishe show hiyo  ya Christmas iliyoandaliwa na kampuni ya simu ya Unitel, kampuni inayomilikiwa na familia ya Rais wa Angola, Rais Jose Eduardo kwa madai ya kuwa show hiyo ya Christmas imeandaliwa na fedha za rushwa hivyo haitakuwa sawa kwa yeye kukubali kutoa show hiyo!

Angola4

Leo December 17 2015 stori kuhusu show ya Nicki Minaj nchini Angola ipo tofauti sana… Show ya rapper huyo itafanyika kama kawaida licha ya pingamizi hilo kutoka kwa Wanaharakati wa Haki za binadamu. Kupitia Instagram page yake, Nicki alipost picha na caption iliyosema…

>>> “ANGOLA! Mpo tayari kwa ajili ya show?!???! Can’t wait to see you guys! Nunueni ticketz zenu!” <<< @NickiMinaj

Angola1

Baada ya kushare news hiyo na zaidi ya watu milion 47 wanaomfuatilia rapper huyo kwenye Instagram, Nicki Minaj akaamua kushare na watu wake wa Twitter hisia zake…

>>> “Kila neno baya litakalosema juu yangu litahukumiwa” <<< @NickiMinaj.

Angola2

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

 

You Might Also Like

Exclusive: Dully Vanny kwa uchungu azungumzia video chafu aliyotajwa, amtaja diamond na mama yake

Audiomack yazindua kampeni ya ‘Ngoma juu ya ngoma’ kukuza muziki wa kitanzania

Exclusive: Con boi kafunguka hana mawasiliano na Lunya,Quick Rocka, akumbuka kifo cha mpenzi wake

Dj Khaled ametuletea hii video mpya ‘Staying alive’ akiwa na Drake na Lil Baby

Mkali Burna boy ametuletea hii video mpya akiwa amemshirikisha Ed Sheeran

TAGGED: Marekani
Millard Ayo December 17, 2015
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Magazeti ya Tanzania December 17 2015 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho
Next Article Haya ndio majibu ya Davido kuhusu ujauzito wa mrembo Agnes Masogange!
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”
Top Stories January 27, 2023
Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa
Top Stories January 27, 2023
Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa
Entertainment January 27, 2023
Mkali Lord Eyez ametuletea hii collabo yake akiwa na Adiana Ross
Entertainment January 27, 2023

You Might also Like

Entertainment

Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa

January 27, 2023
Entertainment

Warembo wanaounda kundi la Tango Supreme kutumbuiza Dar, 27th Jan Elements Masaki

January 27, 2023
Entertainment

Mabibi na Mabwana Nuh Mziwanda ametuletea hii single mpya ‘Nikizipata’

January 26, 2023
Entertainment

PROFILE: Mfahamu Vido Vidox, ripota wa Ayo TV kwa stori za mastaa!!

January 26, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?