Mix

Leo imetimia mwaka mmoja tangu wasichana 200 watekwe Nigeria, kilichoendelea Abuja kiko hapa (PICHAZ)

on

cde42378-2688-46e1-a4cc-8e558cbbe70f-1020x612Zimefanyika kampeni mbalimbali duniani kote kupinga tukio la wasichana waoaminiwa kutekwa na kundi la kigaidi la Boko haramu nchini Nigeria, wasichana ambao walitekwa wakiwa shuleni.

Leo Jumanne ya April 14 2015 watu mbalimbali Nigeria wameandamana kimya kimya huku wakiwa wameziba midomo katika jiji la Abuja pamoja na mabango yenye #BringBackOurGirls.. leo ni mwaka mmoja tangu wasichana  247 wa shule  moja Chibok watekwe na  kundi la Boko Haram huku wakiwa na mabango yenye ujumbe uliosomeka

Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari amesema ingawa hawezi kuthibitisha kama wasichana hao wataweza kuokolewa lakini Serikali itafanya kila njia kuhakikisha wasichana hao wanapatikana.

Hapa nina hizi PICHAZ ambazo zinaonesha maandamano hayo leo NIGERIA.

bb1

bb3

BB4-600x450

BB5

BB6

BB2-600x450

 

2000

Image: Kenyan activists protest against the kidnapping of Nigerian school girls

BB4

C7924139-78EB-495F-818C-F8E890D7845E_mw1024_s_n

cde42378-2688-46e1-a4cc-8e558cbbe70f-1020x612

eight_col_bokorally

BB7-600x450

millardayo.com ndio sehemu yako kuzipata story zote mtu wangu, unaweza kuwa karibu zaidi na mimi kwa kujiunga kwenye Facebook, Twitter na Instagram pia zitakufikia zote mtu wangu, jiunge hapa >>>twitter Insta Facebook

Soma na hizi

Tupia Comments