Habari za Mastaa

Mastaa 10 wa Nigeria na magari yao >>>Wizkid, P Square, Kcee nao wamo… (Pichaz)

on

KCEE COLLECTNNigeria ni moja ya nchi za Afrika ambazo zinaongoza kwa kuwa na mastaa wengi wanaofahamika zaidi kuanzia kwenye filamu na muziki lakini pia kwenye utafiti uliofanywa hivi karibuni ulilitaja hili taifa kuwa miongoni mwa mataifa tajiri Afrika.

Kitu kingine kilichowasaidia kufika mbali ni ukongwe wa mastaa hao kuingia kwenye industry ya burudani..lakini ukongwe huo una mafanikio pia nyuma yake, wengi wao wamekua wakimiliki majumba ya kifahari na hata kuwa na magari ya thamani kutokana na kazi yao wanayoifanya.

PSUARE CARS

Magari ya Psquare

WIZKID CAR

Gari la Wizkid aina ya BMW X6

IYANYA

Gari la Iyanya aina ya Range Rover Sport

DBANJ

Gari ya D’Banj aina ya Aston martin Vantage

ICE PRINCE

Gari la Ice Prince aina ya Lamborghini Gallardo LP570 Superleggera

KCEE COLLECTN

Magari ya Kcee G-Wagon, Range, Audi

DON

Gari la Don Jazzy aina ya Porsche Carrera Gts

YEMI

Gari la Yemi Alade aina ya Mercedes Benz G-Wagon

SAVAGE

Gari la Tiwa Savage aina ya Volkswagen EOS

JMARTINS

Gari la J Martins aina ya Rolls royce phantom, G-wagon 550

Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments