Habari za Mastaa

Uliisikia ishu ya Nikki wa Pili kumuandikia Mistari Joh Makini? Nikki wa Pili kayazungumza haya

on

Kama ulikuwa umewahi kuzisikia story za Nikki kumuandikia Joh Makini mistari leo Nikki mwenyewe kaamua kulizungumzia. 

Kutoka kwa Perfect Crispin ambaye ni mtangazaji wa Clouds FM ametusogezea stori hii ya Nikki wa Pili na zingine zinazomhusu Vannessa Mdee kuzungumzia wanawake kubaniana wenyewe kwenye game ya muziki pamoja na story ya Nahreel kutoa ufafanuzi wa suala la Rapper Chin Beez kutopewa Credit baada ya kuandika ngoma ya Navy Kenzo.

ULIIKOSA HII BAADA YA POST ZA SHILOLE KUINGIA KWENYE HEADLINES WENYEWE WALIPOYAZUNGUMZA HAYA? BONYEZA PLAY HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments