Habari za Mastaa

Sekunde 27 za single mpya ya @Nikkwapili ft G Nako & @IamBenPol

on

Screen Shot 2014-05-10 at 6.12.52 PMNi single ambayo itawafikia Watanzania Jumanne ya May 13 2014 kupitia radio mbalimbali Tanzania na video yake kufata baadae lakini time hii unaweza kuitumia kusikiliza sehemu tu ya single yenyewe.

Ungana na mimi twitter kwa kubonyeza HAPA na nitakutumia link popote ulipo muda mfupi tu baada ya hii single kutoka, pia kujiunga na mimi insta na facebook bonyeza hapa >> INSTA na FB

Tupia Comments