Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Wasanii kulipwa nyimbo zinapopigwa Redioni/TV? stori iko hapa….. (+Audio)
Share
Notification Show More
Latest News
Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
September 29, 2023
Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu
September 29, 2023
Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA
September 29, 2023
Mohbad: Polisi wa Lagos wamkamata Sam Larry ahusishwa na kifo cha Mohbad
September 29, 2023
Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea
September 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > Wasanii kulipwa nyimbo zinapopigwa Redioni/TV? stori iko hapa….. (+Audio)
Habari za Mastaa

Wasanii kulipwa nyimbo zinapopigwa Redioni/TV? stori iko hapa….. (+Audio)

December 16, 2015
Share
2 Min Read
SHARE

Stori ninayotaka kukusogezea ni hii kutoka kwa Nikki wa pili akifunguka kuhusiana kupitishwa kwa sheria inayohusu wasanii kulipwa nyimbo zinapochezwa katika TV na Redioni.

Akiongea na ripota wa millardayo.com alisema’Leo kulifanyika mkutano mdogo ambapo mawaziri wawili (Waziri wa Viwanda na Biashara & Waziri wa Utamaduni/Sanaa na Michezo cha msingi ilikuwa ni kwamba imezinduliwa rasmi sheria ile imepitishwa ya kulipwa mirabaa ambapo kazi za wasanii zinapokuwa zinachezwa kwenye Ma Redio na TV  wanatakiwa walipwe’ -Nikki wa pili

‘Sheria hiyo imesainiwa rasmi kwahiyo kuanzia tarehe 1 January 2016 nyimbo ambazo zitakuwa zinachezwa kwenye TV na Radio zitakuwa zinalipiwa na sio kila TV na au kila Redio zitakua zinalipa sawa hapana utalipa kulingana  na mapato unayopata’ Nikki wa pili

‘Kwa hiyo mirabaa itakuwa inakusanywa na Cosota sio wasanii watakuwa wanachukua,Cosota ndio itakuwa inahusika kuchukua na kuwalipa wasanii’- Nikki wa pili

‘Na CMEA kazi yao ni kuhakikisha zile takwimu Cosota halafu Cosota kupitia zile takwimu ambazo zimewasilishwa watakusanya hiyo mirabaa kwenye TV na Radio halafu wao sasa ndio watahusika kuwalipa wasanii’ – Nikki wa pili 

Its done….kuanzia tarehe moja january….wasanii kulipwa nyimbo zinapopigwa Redioni/tv….Lets go

A photo posted by nikk wa ii (@nikkwapili) on Dec 16, 2015 at 4:36am PST

Na mweshimiwa waziri wa viwanda, biashara na uwekezaji..cosota ipo chini yake..its done..kuanzia january nyimbo kulipiwa zinapopigwa redion na tv

A photo posted by nikk wa ii (@nikkwapili) on Dec 16, 2015 at 4:52am PST

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

You Might Also Like

Diamond na Jux wanusurika kifo kwenye lift ya ghorofa

Str8upvibes wameungana na Everthing Dope TZ kumleta mkali wa kwenye ‘Young, Famous and African’

Meneja Chambuso afunguka kubwagana na Aslay

B Dozen amjibu Majizzo, Maulid Kitenge apigilia Msumari

Kwa mara ya kwanza Kajala afunguka sababu za kuachana na Harmonize, aibua mapya

Edwin TZA December 16, 2015
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Ni kweli wachezaji wa Man United hawamtaki Louis van Gaal? David de Gea kajibu hapa …
Next Article Saa 48 alizozitoa Waziri wa Magufuli kwa Wauza ‘Unga’…(+Pichaz)
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
Sports September 29, 2023
Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu
Top Stories September 29, 2023
Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA
Top Stories September 29, 2023
Mohbad: Polisi wa Lagos wamkamata Sam Larry ahusishwa na kifo cha Mohbad
Entertainment September 29, 2023

You Might also Like

Top Stories

Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu

September 29, 2023
Top Stories

Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA

September 29, 2023
Sports

Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea

September 29, 2023
Top Stories

Rais wa Urusi Vladimir Putin akutana na kamanda mkuu wa zamani wa Wagner Group

September 29, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?