Top Stories

“Nimebakwa na Waume watatu siku ya harusi, nikamng’ata uume” (+video)

on

Terry Gobanga ni Mke na mama wa watoto wawili aliyezaliwa mjini Nairobi nchini Kenya japo makao yake kwa sasa ni nchini Marekani katika jimbo la Texas.

Terry Gobanga wakati huo akijulikana kama Terry Apudo siku iliyoandaliwa kama ya harusi yake jamaa na marafiki walifika wakimsubiri bibi harusi ambaye ni Terry lakini hakuonekana wala hakuna aliyejua aliko.

Hakuna aliyedhani kuwa alikuwa ametekwa nyara, akabakwa na kisha kuachwa kama mzoga barabarani kilomita kadhaa kutoka nyumbani kwao.

CORONA: KUTOKA CHUO KIKUU DSM MAISHA YA WANAFUNZI, JANGA LA CORONA, KUJIFUKIZA, DISCO WAMEZUNGUMZA

Soma na hizi

Tupia Comments