Ratiba ya mechi za leo za Championship League wikiendi hii na utashuhudia mechi hizi zote mubashara kupitia TV3 Tanzania nimekusogezea hapa mtu wangu uzifahamu.
Mbeya Kwanza Fc watakutana na Green Warriors FC majira ya saa nane Mchana katika Uwanja wa Majimaji Stadium Mkoani Ruvuma huku Pamba FC watakutana na Kitayose FC majira ya saa kumi jioni katika Uwanja wa Nyamagana Mkoani Mwanza.
Mitanange hiyo yote unaweza pia ukaifuatilia live kupitia TV3 Tanzania katika kisimbuzi cha Startimes Channel 131 na Channel 197 (Dish)