Top Stories

“Nimezaa na Mke wa Mtu bila kufahamu, kanipa milioni 6 nisidai Mtoto”

on

‘Sikufahamu kama ni Mke wa Mtu, tulikutana facebook tukapendana na kuanza mapenzi, baada tu ya yeye kushika ujauzito akanitamkia wazi kwamba yeye ni Mke wa Mtu na amekua na mimi sababu hitaji lake lilikua ni Mtoto tu, hivyo akanipa milioni 6 ili nisimdai Mtoto” …….bonyeza play hapa chini kusikiliza kisa kizima

SIMU YA MSIKILIZAJI: MWANAMKE KAM-CHEAT MWANAUME NA MWALIMU WAKE, KAMFUMANIA MARA MBILI NA BADO MWANAUME HAJAMUACHA

Soma na hizi

Tupia Comments