AyoTV

Hii mpya ya Yamoto Band umeshaiona? kaonekana Rick Ross wa bongo na Kingwendu

on

Screen Shot 2014-09-03 at 1.43.34 AMKutoka TEMEKE Dar es salaam ninayofuraha kukutanisha na vijana ambao sauti zao ni maarufu sana kwenye Radio sasa hivi….. vijana wasiozidi miaka 25 ambao wako chini ya Mkubwa Said Fela wakiongozwa na Aslay ambapo hii ni single ya 4 kutoka kwenye hii Yamoto band baada ya zile za Yamoto, birthday, nibemende na sasa ni niseme.

Usiache kusema chochote baada ya kuiona hii video? umeonaje idea ya Kingwendu kushiriki, Rick Ross wa bongo je? video kwa ujumla umeionaje? Wahusika watapita kila jioni kwa siku nne mfululizo kuangalia watu wao wamesemaje.

Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu na niko tayari kukutumia wakati wowote iwe usiku au mchana iwapo utakua umejiunga na mimi kwa kubonyeza hapa >>> twitter Insta FB

Tupia Comments