Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Bilioni 3.2 zatolewa kwa Wajasiriamali 16 wa Nishati safi ya kupikia
Share
Notification Show More
Latest News
Mfugaji aishukuru kampuni ya Asas, ‘Nasomesha wanangu, Asas ni msaada mkubwa kwetu’
April 1, 2023
Video: RC Shigella atoa tamkoa kufuatia Wananchi kuchoma kituo cha Polisi
April 1, 2023
Machinga wa Tegeta wafunguka ‘Usafi ni tatizo sokoni, tumepokea vifaa vya Milioni 5’
April 1, 2023
Picha: Maafisa habari washuhudia maboresho ya Miundombinu, mifumo katika bandari ya DSM
April 1, 2023
Picha: Mwenyekiti wa CCM Dkt Samia aongoza kikao maalum cha kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM
April 1, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Bilioni 3.2 zatolewa kwa Wajasiriamali 16 wa Nishati safi ya kupikia
Top Stories

Bilioni 3.2 zatolewa kwa Wajasiriamali 16 wa Nishati safi ya kupikia

February 2, 2023
Share
2 Min Read
SHARE

Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba pamoja na Balozi wa Mfuko wa maendeleo ya Ulaya (EU) Manfredo Fanti na Bw. feter Malika wa mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Maendeleo ya Mitaji ya Uwekezaji (UNCDF) wamekabidhi rasmi hundi zenye thamani ya Shilingi Bilioni 3.2 kwa makampuni 16 yanayojishughulisha na shughuli za usambazaji wa Nishati safi ya Kupikia.

Hii ni baada ya Wajasiriamali kutuma maombi ya Ufadhili kwa UNCDF yaliyopokelewa kuanzia Septemba 2022 Mpaka February 01 2023 kupitia mpango wa Cookfund unaolenga matumizi ya teknolojia ya Nishati safi ya kupikia.

Katika hafla hiyo iliyofanyika Jijini Dar es salaam, Mhe. Waziri wa Nishati, January Makamba, amesema >> Tumeanzisha mfuko huu wa Nishati safi ya Kupikia kwa ajili ya Wajasiriamali wanaojishughulisha na usambazaji ili kuwafikia Watanzania wengi zaidi wapate huduma hii, Na hawa ni wale waliokua wanakwama kusambaza nishati safi sababu za Mitaji kwenye mikoa mbalimbali Nchini’- Waziri Makamba.

Waziri Makamba ameongeza kwa kusema >> Wanufaika hawa wako 16 na fedha hizi sio mikopo ni Ruzuku, Niwaombe waliopata pesa hizi wakazifanyie kazi husika ili tusionekane matapeli, Huu ni msaada unaotolewa kwa Nchi kutoka Umoja wa Ulaya, Msaada huu hauendi kwa Serikali unakuja kwa Wananchi moja kwa moja, Nyie mnaopata leo mkiharibu watu wanaofuata hawatopewa. Zimetengwa Bilioni 23 na leo tumetoa Bilioni 3.2 tu hivyo tuwe waaminifu’ – Waziri Makamba.

Waziri Makamba pia amesema bado wanaendelea kukamilisha maelekezo ya Mh. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuhakikisha taasisi za Kiserikali zenye watu zaidi ya 300 kuachana na nishati chafu ya kupikia na waanze matumizi ya Nishati safi ya kupikia ambapo Mwishoni mwa mwezi Februari 2023 wanatarajia kutangaza rasimu ya Dira ya Nishati Safi ya Kupikia.

.

.

You Might Also Like

Mfugaji aishukuru kampuni ya Asas, ‘Nasomesha wanangu, Asas ni msaada mkubwa kwetu’

Video: RC Shigella atoa tamkoa kufuatia Wananchi kuchoma kituo cha Polisi

Machinga wa Tegeta wafunguka ‘Usafi ni tatizo sokoni, tumepokea vifaa vya Milioni 5’

Picha: Maafisa habari washuhudia maboresho ya Miundombinu, mifumo katika bandari ya DSM

Picha: Mwenyekiti wa CCM Dkt Samia aongoza kikao maalum cha kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM

Edwin TZA February 2, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Mchezaji mwenye umri mkubwa (55) asaini Ureno
Next Article Tanzania Ligi namba 5 kwa Ubora Afrika
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Mfugaji aishukuru kampuni ya Asas, ‘Nasomesha wanangu, Asas ni msaada mkubwa kwetu’
Top Stories April 1, 2023
Video: RC Shigella atoa tamkoa kufuatia Wananchi kuchoma kituo cha Polisi
Top Stories April 1, 2023
Machinga wa Tegeta wafunguka ‘Usafi ni tatizo sokoni, tumepokea vifaa vya Milioni 5’
Top Stories April 1, 2023
Picha: Maafisa habari washuhudia maboresho ya Miundombinu, mifumo katika bandari ya DSM
Top Stories April 1, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mfugaji aishukuru kampuni ya Asas, ‘Nasomesha wanangu, Asas ni msaada mkubwa kwetu’

April 1, 2023
Top Stories

Video: RC Shigella atoa tamkoa kufuatia Wananchi kuchoma kituo cha Polisi

April 1, 2023
Top Stories

Machinga wa Tegeta wafunguka ‘Usafi ni tatizo sokoni, tumepokea vifaa vya Milioni 5’

April 1, 2023
Top Stories

Picha: Mwenyekiti wa CCM Dkt Samia aongoza kikao maalum cha kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM

April 1, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?