Top Stories

Nissan watambulisha gari jipya linaitwa Z proto

on

Kampuni ya magari ya Nissan imelitambulisha gari jipya aina ya Z Proto ambalo ni manual, twin turbo V6 engine na hand brake ya kawaida, Nissan hawajatoa details za nguvu ya hili gari na hawajatangaza bei wala litaingia lini sokoni lakini jitazamie hizi picha na video yake hapa chini.

.

Soma na hizi

Tupia Comments