Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: “Nitahakikisha waandishi wanapata mikataba hamna mjadala” Bashungwa
Share
Notification Show More
Latest News
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
June 2, 2023
Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest
June 2, 2023
Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano
June 2, 2023
Amnesty yaonya Iran dhidi ya Kunyonga kwa Kesi zinazohusiana na madawa ya kulevya
June 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > “Nitahakikisha waandishi wanapata mikataba hamna mjadala” Bashungwa
Top Stories

“Nitahakikisha waandishi wanapata mikataba hamna mjadala” Bashungwa

January 10, 2021
Share
1 Min Read
SHARE

Serikali imesema inatambua mchango wa sekta ya habari na kuahidi kuzishughulikia changamoto za tasnia hiyo kwa kufanya maboresho, kupitia sheria na mikutano na wanahabari.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Innocent Bashungwa, wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini DSM.

Baadhi ya changamoto zilizoibuliwa na waandishi wa habari ni pamoja na waandishi kukosa mikataba ya kudumu ya kazi, kufanya kazi kwa kujitolea kwa muda mrefu, bei kubwa ya kusajili ‘Online TV’, wasemaji wa taasisi za serikali kutotoa ushirikiano katika masuala yanayohitaji ufafanuzi kwa kero za jamii na wavamiaji wa taaluma.

Akizijibu changamoto hizo, Waziri Bashungwa amesema atashirikiana na wizara nyingine ikiwemo ya kazi ili kutatua suala la ajira kwa wanahabari.

”Suala hili la ajira kwa mujibu wa sheria kama lilikua halisimamiwi, basi nitashirikiana na Wizara ya Ajira kuhakikisha waandishi wanapata mikataba na suala hili halina mjadala na tutalifanyia kazi” Waziri Bashungwa.

Sambamba na hilo Waziri Bashungwa, amesema wizara yake inaandaa utaratibu wa kuzungumza na wamiliki wa vyombo vya habari lengo ni kuweka ushirikiano katika kutimiza malengo ya serikali na  kuboresha stahiki za wanahabari.

SVEN AFUNGUKA YA MOYONI “MOYO MZITO, MO DEWJI ALITAKA NIBAKI”, KOCHA PAKA, REKODI ZAKE ZA KIBINGWA

You Might Also Like

Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest

Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano

Amnesty yaonya Iran dhidi ya Kunyonga kwa Kesi zinazohusiana na madawa ya kulevya

TAGGED: TZA HABARI
Pascal Mwakyoma TZA January 10, 2021
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Serikali kununua meli nane za uvuvi, Gekul atoa maagizo (+picha)
Next Article TAKUKURU yakamata dawa za Mil. 56
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
Top Stories June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
Top Stories June 2, 2023
Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest
Sports June 2, 2023
Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano
Top Stories June 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi

June 2, 2023
Top Stories

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

June 2, 2023
Sports

Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest

June 2, 2023
Top Stories

Amnesty yaonya Iran dhidi ya Kunyonga kwa Kesi zinazohusiana na madawa ya kulevya

June 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?