on air with millardayo

Part 1: Naj Exclusive Interview na asichopenda kuulizwa tena.. (video)

on

Naj ni msanii wa bongofleva ambaye wengi walianza kumuona kwenye video ya Tabasamu ya Mr. Blue na sasa ni msanii na nyimbo zake, makazi yake yalikua Uingereza lakini sasa hivi amerudi nyumbani Tanzania kufanya muziki rasmi, mtazame mwenyewe akiongea kwenye hii video hapa chini…

VIDEO YAKE MPYA NDIO HII UNAWEZA KUITAZAMA HAPA CHINI..

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments