Top Stories

“Nafahamu kuna ujanja mwingi unaofanywa na baadhi ya viwanda” – Rais Magufuli

on

Rais Magufuli, ameendelea na ziara ya kikazi mkoani Kagera ambapo leo November 8, 2017 amefanya ziara katika kiwanda cha Sukari cha Kagera kukagua shughuli za uzalishaji katika kiwanda hicho.

RAIS MAGUFULI: Alivyowataja wanaosema wanaidai Serikali MABILIONI

Soma na hizi

Tupia Comments