Top Stories

Kauli ya Rais kwa CAG, Msemaji wa Serikali kaulizwa “Hajakosea” (=video

on

“Sio CAG tu hata Rais mwenyewe ana masharti ya kazi yake Kikatiba, sasa Rais akikukumbusha ukafanye kazi ndo anakuingilia uhuru wako wa kazi?, achana na wachambuzi wa mambo jiridhishe, Rais kumuambia CAG kafanye kazi ya ukaguzi na usipofanya ujue tutakuondoa amekosea nini?”-Dkt Hassani Abbasi, Msemaji Mkuu wa Serikali

RUBANI AFUKUZWA KAZI KISA HII PICHA YA MREMBO WA KICHINA

Soma na hizi

Tupia Comments