AyoTV

VIDEO: Mgawanyo wa Bilioni 151 za Wizara ya Mambo ya Nje ulivyosomwa bungeni leo

on

May 31 2016 Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kikanda na Kimataifa kupitia kwa Waziri wake Augustine Mahiga imeomba kutengewa jumla ya Shilingi 151,396,775,000.00 kama bajeti yake kwa mwaka wa fedha 2016/2017.

Waziri Maige anasema…>>>’Kati ya fedha hizo Shilingi 143,396,775,000.00 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida na Shilingi 8,000,000.00 ni kwa ajili ya bajeti ya Maendeleo

ULIIKOSA HII? ALICHOKIONGEA MBUNGE JOSHUA NASSARI BAADA YA BUNGE KUKATAA KUJADILI WANAFUNZI KUFUKUZWA CHUO

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments