Duniani

VIDEO: Afanya maamuzi ya ajabu baada ya kuachwa na mpenzi wake

on

Moja kati ya habari ambazo zimekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii hivi karibuni ni stori kumhusu Stevie Stephens  ambaye alitumia ukurasa wake wa Facebook kurusha LIVE tukio la mauaji wakati anamuua mtu mmoja kutoka Cleveland, Marekani aliyefahamika kama Robert Godwin (74)

Stevie Roberts amedai kufanya mauaji ya watu 13 akisisitiza kuwa anaendelea ambapo Polisi mjini Cleveland wanafanya jitihada za kumpata huku mtandao wa TMZ.com ukiripoti kuwa inasemekana chanzo cha kufanya mauaji hayo ni kuachwa na mpenzi wake.

Nimekuwekea video hapa chini ambayo inamuonyesha Stevie Roberts  akitaja majina yake kamili na idadi ya watu aliowapotezea maisha pamoja na mipango yake ya kuendelea kufanya mauaji…

Video: Ilipofikia Movie ya Wema Sepetu na Van Vicker >>>

Video: VAA AFRICA: Moja kati ya maonyesho ya fashion yaliyofanyika Arusha 2017>>>

Soma na hizi

Tupia Comments