AyoTV

VIDEO: Dakika 2 za Wabunge wa upinzani walivyotoka bungeni wakidai hawana imani na Naibu Spika

on

May 30 2016 vyama vya upinzani bungeni vilitangaza kuwa havitakuwa vikishiriki vikao vyovyote vya bunge vitakavyokuwa vikiongozwa na Naibu spika Tulia Ackson kwa madai kuwa hawana imani naye baada ya kukataa kuruhusu bunge kujadili tukio la wanafunzi wa Chuo kikuu Dodoma (UDOM) kutakiwa kurudi kwao baada ya mgomo wa walimu.

Msimamo wao umeendelea, ambapo leo June 02 2016 wabunge wametoka tena bungeni maratu baada ya dua kumalizika kwa umoja wao wakatoka nje ya bunge.

ULIIKOSA HII? FREEMAN MBOWE KUHUSU UPINZANI KUTOLEWA TENA BUNGENI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments