Video Mpya

VideoMPYA: Nawaleta kwako The Mafik wakikwambia ‘Bobo’, karibu kuitazama

By

on

This time nawasogeza karibu The Mafik baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu wakiwa wameileta brand new hit kwenye screen yako wakikuambia ‘Bobo’ fanya kuburudika na ngoma hiyo kwa kubonyeza PLAY hapa chini ujionee mwenyewe.

VIDEO: ULIPITWA NA HII YA MISS KINONDONI 2019 “HATUANGALII UZURI, TUNAANGALIA HESHIMA”? BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments