Mix

PICHA: Simu ya Nokia 3310 inarudishwa sokoni lakini kisasa

on

Simu ya Nokia 3310 imezinduliwa upya baada ya miaka 17  ya uzinduzi wake rasmi ambao ulitufanya watu wengi kipindi hicho kuwa nayo huku ikisifika kuwa simu ngumu na imara hata ikianguka.

Sasa hivi Nokia wametangaza kuirusha sokoni lakini kwa muonekano na Teknolojia iliyoshiba ndani yake na itauzwa chini ya leseni ya kampuni ya Finland ya HMD Global ambayo pia ilizindua simu kadhaa za Nokia smartphone.

Play hapa chini kuona uzinduzi wa simu hiyo

VIDEO: Simu Mstaafu Jakaya Kikwete aliyompigia Ridhiwani baada ya kuona picha yake na Lowassa

FULL VIDEO: Steve Nyerere atokwa machozi akiongelea sauti ya simu iliyosambaa akiongea na Mama Wema Sepetu, tazama kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments