Ad

AyoTV

VIDEO: Alichokisema Juma Nkamia kuhusu Waziri Mwakyembe kwenda kwenye press ya Roma

on

Mbunge wa Chemba Juma Nkamia ni kati ya waliopata nafasi ya kusimama Bungeni Dodoma leo April 11, 2017 katika kuchangia maoni kuhusu mapitio ya mapato na matumizi ya fedha za ofisi ya Waziri mkuu na ofisi ya bunge kwa mwaka wa fedha 2017/2018.

Katika vitu alivyogusia Nkamia ni kitendo cha Waziri wa Habari, utamaduni, sanaa na michezo Dr. Harrison Mwakyembe kwenda katika mkutano wa msanii Roma mkatoliki alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam jana.

Full video nimekuwekea hapa chini tayari…

LIVE: Kipindi cha maswali na majibu Bungeni Leo April 11, 2017

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments