Habari za Mastaa

Mdundo wa Navy Kenzo na Vanessa Mdee tayari umefanyiwa Video na unaweza kuicheki hapa sasahivi- Game (Video)

on

GAME

Ni siku chache tu zimepita toka Navy Kenzo waachie wimbo wao mpya uitwao Game ambao ndani yake ameshirikishwa Bongo Fleva superstaa ambaye alishiriki MTV MAMA 2015 pia, Vanessa Mdee.

GAME2

Navy Kenzo hawajachelewa kutusogezea video ya wimbo huo, saa chache zilizopita imenifikia hii video ambayo Navy Kenzo wameachia, ungependa kuiona? bonyeza Play kuicheki hapa.

Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments