Breaking News

BREAKING: Lema akizungumzia tukio la MO DEWJI kutekwa

By

on

Leo October 16 2018 Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema anazungumza na Waandishi wa Habari kuhusu tukio la kutekwa kwa mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania Mohamed Dewj na watu wasiojulikana wiki iliyopita ya october 11 2018  katika hotel ya Collesiums.

Unaweza kutazama LIVE kwa kubonyeza hapa chini

HD VIDEO: Familia ya Mo Dewji yatangaza kutoa BILION 1

 

Soma na hizi

Tupia Comments