Top Stories

Tazama LIVE Goodluck Gozbert akiimba NIPE, afurahia Gospel kupigwa Club, amtaja JPM

on

Leo September 1, 2018 Staa wa Muziki wa Injili Tanzania Goodluck Gozbert amekaa katika Interview ndani ya AyoTV na kuongelea furaha yake pale Muziki  wa Gospel unapopigwa Club sehemu ambayo imezoeleka kupigwa Bongofleva.

Pia Goodluck kazungumzia furaha yake alipoalikwa ikulu na Rais Magufuli, kutazama Full Interview bonyeza PLAY hapa chini.

Simulizi ya kweli ya Maisha Prof. Mbilinyi, from Zero to Hero (changamoto, fursa)

Soma na hizi

Tupia Comments