Mix

Kitu kizuri kutoka NMB kwenda wakazi wa Sumbawanga.

on

SUBAMWANGAWatu wangu wa Sumbawanga  hii habari nzuri iwafikie kutoka NMB Bank kuhusu tawi jipya  lilipo makutano ya Mpanda-Msakila.

Tawi hili limehamishwa kutoka jengo la Bima na hivi sasa lipo makutano ya Mpanda-Msakila na lina mashine za ATM 3 unaweza kwenda kupata huduma za kibenki mtu wangu.

Sumbawanga-Branch-previewMuonekano wa tawi jipya la NMB Sumbawanga ambalo limehamishwa kutoka jengo la Bima na hivi sasa lipo makutano ya Mpanda-Msakila na linatoa huma mbalimbali za kibenki.
DSC02884

Afisa wa mikopo tawi la NMB Sumbawanga, Godwin Nguna akimhudumia mteja wa mkopo katika tawi jipya la Sumbawanga
3
Wateja wa benki ya NMB  wakipata huduma za kibenki kwenye tawi la Sumbawanga

Tupia Comments