Top Stories

Unakaribishwa kuoa kwakina Zitto, Wanawake wavumilivu katika ndoa (+video)

on

Moja kati ya sifa ambazo zinasambaa katika mitandao ya jamii na kusemwa sana wa watu wengi ni kuhusu wanawake wa Kigoma ni hii ya uvumilivu katika ndoa za na kutokua na tamaa kwa wanaume wengine pamoja na kuridhika kwa kile wanachokipata.

Leo katika aAyoTv tumekusogezea sifa hizo na vitu gani hasa wanawake hawa huwa wanavumilia sana katika ndoa zao licha ya migongano katika nyumba zao.

MAZISHI YA BABA YAKE PRO. JAY: kinachoendelea Mikumi muda huu

Soma na hizi

Tupia Comments