Habari za Mastaa

Dakika nne za kushuhudia mwanzo mwisho shangwe za Angola alivyotua Nicki Minaj..(+Video)

on

Rapper wa kike mrembo kabisa Nicki Minaj anakuwa mmoja ya mastaa wa Marekani na mastaa wakubwa Duniani waliogonga vichwa vya habari kwa kufanya show za nguvu kwenye nchi za Africa.

Mzigo mzima wa Nicki Minaj ulikuwa ni Angola weekend iliyopita na hapa nina kipande cha video kuanzia Nicki anatua Airport, show yake kwenye stage, na mpaka anapanda ndege kurudi kwao… enjoy mtu wangu !!

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments