Habari za Mastaa

Wale wa Nicki Minaj, hizi ndio picha zake 6 zinazotazamwa sana mitandaoni kwa sasa.

on

1Unaambiwa rapper wa Cash Money > Nicki Minaj… anajipanga kuja na muonekano mpya huku akijiandaa kutoka na album au mixtape.

Mara nyingi picha zilizozoeleka ni zile zinazomuonyesha akiwa na muonekano wa Barbie kama kawaida yake lakini hizi za sasa alizozitoa mwenyewe ameonekana kuwa na nywele zake kabisa bila vitu vingine anavyojitupiaga.

niccc

2

3

4

5

6Unadhani kapendeza kwa muonekano huu zaidi ya ule uliozoeleka?

Tupia Comments