Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

RC Mwanri kurupukushani sukuma ndani ni kizaazaa hata kama unaumia” (+video)

on

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ameanza ziara ya kuhamasisha wafanyabiashara wadogo kuchukua vitambulisho baada ya kusuasua kwa zoezi hilo katika awamu ya kwanza na ametoa maelekezo kwa Watendaji kujenga mazingira ya wananchi kuchukua vitambulisho.

“Hatutoki mpaka mtubariki hata kama ndugu yako hakuja utakwenda kumwambia tukianza kusukuma itakuwa kizaazaa, tunachotakiwa ni kujenga mazingira mtu aone umuhim wa kitambulisho, itakuwa shida na mimi nitaonge hovyo” RC Mwanri

UBUNIFU ULIOFANYWA WAKUTOA ELIMU YA BURE KWA VIJANA WA MIAKA 15 HADI 35

Soma na hizi

Tupia Comments