Top Stories

NAPE: ‘Serikali isitishe zoezi hili, iheshimu sheria, isubiri tathmini’

on

Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye ni mmoja wa wabunge ambao leo May 22,2018 wamepata nafasi ya kuchangia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii mwaka 2018 ambapo amemtaka Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuisaidia Serikali kujenga utamaduni wa kuheshimu sheria zilizopitishwa na bunge.

“Spika nataka nimuombe AG aisaidie Serikali kujenga utamaduni wa kuheshimu sheria zilizopitishwa na Bunge, kwa unyenyekevu sana, naiomba Seikali isistishe zoezi hili”, amesema Nape

Mke anayedai Mume wake kafufuka, aonyesha kaburi lilivyotitia, aelezea tukio

Soma na hizi

Tupia Comments