Michezo

Eeeh! Ivo Mapunda azigomea Simba na Yanga”Hata angekuja Ferguson”(+video)

on

Mchezaji mkongwe wa soka nchini Ivo Mapunda amezungumzia maendeleo ya klabu za Tanzania ikiwemo Azam, Yanga na Simba ambapo amesema zinashindwa kufikia mafanikio kwa sababu hakuna uongozi sahihi.

Akizungumza na Ayo Tv na millardayo.com Mapunda amesema viongozi wa klabu ndio wanaochelewesha maendeleo kwani licha ya klabu hizo kuwa na wanachama wanaoweza kuzifanya kuwa tajiri lakini inashindikana na kufanya soka kuwa dumavu.

Kwenye upande wa soka hakuna kitu rahisi kwani hata Manchster walimvulia Mourinho, hakuna kazi nzito kama kuzishauri klabu zetu hata angekuja Ferguson wangemshauri wao,“amesema.

FULL STORY: MAHAKAMA IMEGOMA TUNDU LISSU KUKAMATWA KWA HATI

Soma na hizi

Tupia Comments