AyoTV

Richie Richie kaipeleka tuzo kwa waziri Nnauye (+Video)

on

Usiku wa March 6 Single Mtambalike maarufu kama Richie Richie, aliwasili na tuzo yake ya Africa Magic Viewer’s Choice Awards 2016 zilizotolewa Lagos Nigeria, na leo March 7 ilikuwa ni wakati wa kuipeleka tuzo wizara ya habari, utamaduni, sanaa na michezo kuionesha kwa waziri Nape Nnauye.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andikaAYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na MillardAyo kwenye Twitter, FBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER  FB  YOUTUBE

Tupia Comments