Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: VideoFUPI: Nape Nnauye alivyorudishwa ndani ya gari na askari
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 30, 2023
May 30, 2023
Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’
May 29, 2023
Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)
May 29, 2023
Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi
May 29, 2023
Marekani yabatilisha visa ya spika wa bunge la Uganda baada ya saini Mswada mkali wa ushoga kuwa sheria
May 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > VideoFUPI: Nape Nnauye alivyorudishwa ndani ya gari na askari
Mix

VideoFUPI: Nape Nnauye alivyorudishwa ndani ya gari na askari

March 23, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Leo asubuhi ya March 23 2017 taarifa kutoka IKULU ilieleza kwamba nafasi ya Waziri wa Habari amepewa Dr. Mwakyembe, Baadaye Nape Nnauye alitoa taarifa kuwa atazungumza na waandishi wa habari lakini Meneja wa Hotel ambayo mkutano ulitakiwa ufanyike alisema ameagizwa kuwaambia waandishi watawanyike na hakutakuwa na mkutano.

Saa chache baadae Nape Nnauye alifika eneo hilo lakini alizuiwa na askari huku wakimrudisha ndani ya gari, Bonyeza play hapa chini kutazama

VIDEO: Askari wakionekana kumrudisha Nape Nnauye kwenye gari lake leo kwenye alikokua amekwenda kuongea na Waandishi. #MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/JCqwHOHsEr

— millardayo (@millardayo) March 23, 2017

VIDEO: Alichoongea Nape Nnauye kwa mara ya kwanza baada ya kuvuliwa Uwaziri. Bonyeza play hapo chini kutazama.

You Might Also Like

Wabunge wafurahishwa na utekelezwaji wa mradi wa bomba la mafuta ghafi EACOP

Profesa Mkenda kufungua maonesho ya Nane ya Tafiti na Ubunifu UDSM

Miaka 5 ya ITM, Serikali imeahidi kuadhimisha sekta ya rasilimali watu

Yanga, UNICEF na Serikali zaungana kutoa elimu Ugonjwa wa Kipindupindu

Msaada wa pikipiki kwa Polisi kulinda Watalii

Edwin Kamugisha TZA March 23, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: Alichoongea Nape Nnauye kwa mara ya kwanza toka avuliwe Uwaziri
Next Article VideoFUPI: Harmorapa alivyofika kumuona Nape, Bastola ilipotolewa akatimua mbio
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 30, 2023
Magazeti May 30, 2023
Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’
Top Stories May 29, 2023
Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)
Top Stories May 29, 2023
Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi
Top Stories May 29, 2023

You Might also Like

Top Stories

Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’

May 29, 2023
Top Stories

Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)

May 29, 2023

Marekani yabatilisha visa ya spika wa bunge la Uganda baada ya saini Mswada mkali wa ushoga kuwa sheria

May 29, 2023
Top Stories

Waziri wa mambo ya nje wa Urusi Sergey Lavrov azuru Kenya

May 29, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?