Habari za Mastaa

VIDEO: Walichokifanya Navy Kenzo kwenye stage DRC

on

Kundi la Bongofleva la Navy Kenzo ambalo linaundwa na mastaa Aika na Nahreel lipo DRC ambako wamefanya show mjini Goma sambamba na staa mwingine wa Bongofleva Diamond Platnumz.

Nimekusogezea VIDEO ikiwaonesha Navy Kenzo wakiperform kwenye Stage!!!

VIDEO: Diamond Platnumz alivyoperfom katika mji wa Goma, DRC

Soma na hizi

Tupia Comments