AyoTV

Kipaji alichoonesha Nandy alivyoperfom live wimbo wa Rihanna

on

Kama unavyofahamu mtu wangu Tamasha kubwa la mziki Fiesta 2016 limekuwa na jopo la mastaa kutoka bongoflevani kuzunguka mikoani Tanzania, kutoka mkoani Mbeya usiku wa Oct 16 2016 mwanadada mkali wa vocals Nandy alionyesha kipaji chake baada ya kuimba wimbo live cover ya wimbo wa msanii wa marekani Rihanna ‘Love on the brain’.

Kaa mkao wa kula kwa Fiesta 2016 usiku wa oct 22 2016 ambapo itakuwa zamu mkoa wa Dar es salaam, Nimekusogezea video unaweza kuitazama hapa chini mtu wangu.

ULIMISS HII YA MSAMI, MAUA SAMA NA NANDY WALIVYOKUTANA NA WATU WAO KWENYE STAGE ZA FIESTA MBEYA ? UNAWEZA KUITAZMA NIMEKUWEKA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments