Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Mambo manne aliyozungumza Maalim Seif kuhusu Lowassa na Lipumba
Share
Notification Show More
Latest News
Mpishi wa timu ya Arsenal Bernice Kariuki astaafu
May 30, 2023
‘June 2024 kila kijiji kitakuwa na Umeme’- Waziri Makamba
May 30, 2023
Sentensi za Waziri wa Nishati January Makamba kwenye mahojiano na Clouds 360 Mei 30, 2023
May 30, 2023
Beyonce atoa pongezi za muziki kwa idol wake marehemu Tina Turner.
May 30, 2023
Marekani kuzingatia vikwazo vya visa kuhusu sheria ya Uganda dhidi ya mashoga
May 30, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Stori Kubwa > Mambo manne aliyozungumza Maalim Seif kuhusu Lowassa na Lipumba
Stori KubwaTop Stories

Mambo manne aliyozungumza Maalim Seif kuhusu Lowassa na Lipumba

May 3, 2017
Share
2 Min Read
SHARE

Leo May 3 2017 kupitia Clouds 360 ya Clouds TV Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi ‘CUF’, Maalim Seif Sharifu Hamadi amezungumzia kuhusu mgogoro unaoendelea ndani ya CUF na mustakabali wa chama hicho.

Aidha, katika kuuzungumzia mgogoro huo, pia Maalim Seif aligusia kuhusu Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania Edward Lowassa kujiunga na UKUWA kitendo kilichopelekea Prof. Lipumba kujiuzuru nafasi ya Uenyekiti wa CUF akisema kuwa Prof. Lipumba alikuwa mmoja wa watu waliomkaribisha Lowassa kujiunga na UKAWA kwa kuwashawishi viongozi wa Muungano huo wampokee na kupendekeza jina la muungano huo.

Awali, Maalim Seif alisema kuwa Lipumba ndiye aliasisi jina la UKAWA akisema: “Prof. Lipumba ndio alitoa jina la UKAWA.

Kisha baada ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania Edward Lowassa kukatwa jina lake katika kugombea Urais kupitia CCM alikaribishwa UKAWA na Prof. Lipumba akisema: “Baada ya Lowassa kukatwa na CCM, Prof. Lipumba ndio alimkaribisha UKAWA na kuwashawishi viongozi wa UKAWA wampokee.

Na alipoulizwa kuhusu kujiuzulu kwa Prof. Lipumba kisha kurudia tena katika wadhifa wake ndani ya CUF, Maalim Seif alisema: “Prof. Lipumba alijiuzulu, na Katiba ya CUF hairuhusu kitendo cha ‘kutengua’ kujiuzulu kwake.

Aidha, Makamu huyo wa Kwanza wa Serikali iliyopita ya Mapinduzi Zanzibar aliongeza kwa kusema kuwa Prof. Lipumba na kundi lake wanafanya uhalifu kuzikalia Ofisi za CUF: “Prof. Lipumba na kundi lake ambao wamekalia Ofisi za CUF, sio wanachama wa CUF na hivyo wanafanya uhalifu kukalia Ofisi hizo.” – Maalim Seif.

VIDEO: Ziara ya Maalim Seif Jijini Dar es Salaam May 2 2017

You Might Also Like

Mpishi wa timu ya Arsenal Bernice Kariuki astaafu

‘June 2024 kila kijiji kitakuwa na Umeme’- Waziri Makamba

Sentensi za Waziri wa Nishati January Makamba kwenye mahojiano na Clouds 360 Mei 30, 2023

Marekani kuzingatia vikwazo vya visa kuhusu sheria ya Uganda dhidi ya mashoga

FIFA imethibitisha ratiba ya michezo mingine yote ya Kombe la Dunia la U-20 inayoendelea.

TAGGED: CUF, lipumba, siasa za Tanzania, Tanzania news
Victor Kileo TZA May 3, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: ‘Hii sio haki, mnabomoa nyumba za watu saa 10 usiku’ –Bonnah Kaluwa
Next Article Msimamo wa Maalim Seif kuhusu Prof. Lipumba
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Mpishi wa timu ya Arsenal Bernice Kariuki astaafu
Top Stories May 30, 2023
‘June 2024 kila kijiji kitakuwa na Umeme’- Waziri Makamba
Top Stories May 30, 2023
Sentensi za Waziri wa Nishati January Makamba kwenye mahojiano na Clouds 360 Mei 30, 2023
Top Stories May 30, 2023
Beyonce atoa pongezi za muziki kwa idol wake marehemu Tina Turner.
Entertainment May 30, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mpishi wa timu ya Arsenal Bernice Kariuki astaafu

May 30, 2023
Top Stories

Marekani kuzingatia vikwazo vya visa kuhusu sheria ya Uganda dhidi ya mashoga

May 30, 2023
Top Stories

FIFA imethibitisha ratiba ya michezo mingine yote ya Kombe la Dunia la U-20 inayoendelea.

May 30, 2023
Top Stories

Mahakama ya Libya imewahukumu kifo watu 35 kwa kupigania kundi la Islamic State

May 30, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?