Mix

VIDEO: Ziara ya Maalim Seif Jijini Dar es Salaam May 2 2017

on

Katibu mkuu wa chama cha wananchi CUF Maalim Seif Sharifu Hamadi ameanza ziara yake ya siku tatu jijini Dar Es Salaam kutembelea wanachama na waasisi wa chama hicho ambao ni wagonjwa na kuwataka wanachama wachama hicho kuwa watulivu.

Ziara hiyo ya Maalim Seif ambayo ameitumia kuwataka wanachama kuwa watulivu..>>>“Kwa wanachama hasa wa CUF wano kipenda chama chao hawawezi kufanya uhuni wanasikiliza kauli za viongozi wao na hata ukimuona mtu anafanya uhuni huyo si mwanachama wa CUF” – Maalim Seif 

Bonyeza Play hapa chini kutazama

Tazama Taarifa ya Habari ya Azam two May 2 2017

Soma na hizi

Tupia Comments