Video Mpya

VideoMPYA: Ni Belle 9 kwenye screen yako akikuambia ‘Moyoni’

By

on

Ukiwa mbioni kuumaliza mwezi wa August, mwimbaji Belle 9 akaona sio mbaya akiileta kwako video Mpya inatiwa ‘Moyoni’ basi ili kuitazama mwanzo mwisho fanya kubonyeza PLAY hapa chini. 

VIDEO: ‘MTANZANIA ALIYEKATWA ULIMI ‘NIMESHAPOKEA ZAIDI YA  MIL 3’

 

Soma na hizi

Tupia Comments