Habari za Mastaa

Video nyingine ya Wyre @WyreDaLoveChild

on

Screen Shot 2014-02-20 at 5.34.40 PMNi zaidi ya wiki mbili toka huu mzigo uingie kwenye himaya ya Youtube lakini bado imekua ni single inayozidi kukua kila siku, ukiitazama mara moja unatamani kuitazama tena, ni yuleyule Wyre mkali wa Kenya ambae ana historia ya kumiliki chati za muziki hata kwa nchi jirani na yake.

Tupia Comments