Habari za Mastaa

Noma!!Hivi ndivyo watu wa Dar wamekesha wakila bata Sikukuu ya EID (Video)

on

Ripoti kutoka kwenye mitaa mbalimbali ya Jiji la Dar es salaam usiku wa kuamkia leo ni kwamba Baa mbalimbali zimefunguliwa ikiwemo ya Liquid Kurasini, Element BAR, The Return, Maisha Club na nyinginezo.

Hii ni baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar ea salaam Paul Makonda kutangaza waliokimbia corona warudi Dar kuendelea na shughuli za uchumi huku akiitaja Jumapili ya leo kuwa ndio siku rasmi ya kurudi kwenye viota vilivyokua vimefungwa, siku ya kuliamsha tena japo kwa tahadhari.

BATA LA DAR SIYO MCHEZO WATU WANAENDELEA KUENJOY, PIERRE APIGA SHANGWE ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments