Habari za Mastaa

Noma!!Vibe la G Nako Disco ndani ya Treni kuelekea Kigoma (Video+)

on

Ni Night Club iliyotengenezwa ndani ya Treni iliyobeba Mashabiki wa Simba na Yanga kuelekea Kigoma,sasa hapa nimekusogezea ushuhudie burudani ya msanii kutoka Kundi la Weusi,G Nako akionesha shangwe lake ndani ya Treni Mashabiki hawa watarudi Dar na Treni hii siku ya Jumapili, huu ni mchongo ulioandaliwa na CLOUDS MEDIA GROUP kwa kushirikiana na Shirika la Reli Tanzania na hii sio mara ya kwanza kwa Clouds kufanikisha bata la kwenye Treni.

Kigoma na Dar ni KM 1444 za barabara kwa mujibu wa google lakini kwa hili bata ndani ya Treni, hakuna ataeboreka.

G NAKO “SIJAWAHI PANDA TRENI, KIGOMA WATEGEMEE BURUDANI KUBWA”

 

Soma na hizi

Tupia Comments