Mkutano wa bunge la 12 bunge la bajeti ikiwa ni Mkutano wa saba wabunge wanaendelea na mjadala wa makadirio ya Mapato na matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka fedha kwa mwaka 2022/23.
Mbunge wa Jimbo Mvumi, Livingstone Lusinde amesema kama Serikali haina maghara ya kutunzia mafuta ianza kutengeneza mara moja ili nchi isikose akiba kwenye maghara ya Serikali.
“Hili tatizo ni kubwa tuanze kupanda bajeti ya kujenga maghara ili tuwe na maghara ya serikali vipi Serikali haifungui maghara ya mafuta ya Serikali na kama haina kwanini tuanze kutengeneza maghara tuwe na mafuta ya Serikali ikitokea shida kama hii ikafungua maghara yake ikashusha bei” Mbunge Kibajaji
“TUSIRUHUSU WAFANYABIASHARA WAKAPITISHA MAMBO YAO,SIMENTI IMESHUKA NAULI IMEPANDA”- MBUNGE VENANT