AyoTV

VIDEO: Maamuzi ya Mbunge Mchengerwa atakaposikia Rais Magufuli sio mzalendo

on

Wabunge wameendelea kuchangia bajeti ya Wizara ya katiba na sheria, Mbunge wa Rufiji Mohamed Mchengerwa amesema endapo itatokea wabunge wengi wakasema anachokifanya Rais Magufuli hivi sasa sio uzalendo basi atapendekeza neno Uzalendo liondolewe katika kamusi.

Mchengerwa amesema..>>>’Kama anachofanya Rais JPM sio uzalendo nitapendekeza neno ‘UZALENDO’ liondolewe ktk kamusi,ni upotoshaji mkubwa uliozungumzwa na Tundu Lissu kuhusu Rais JPM haitaki katiba mpya

Full video nimekuwekea hapa chini tayari….

VIDEO: ‘Hawa mliozuia viroba vyao mtakuwa tayari kuwalipa’ -Aeshi Hilaly 

Soma na hizi

Tupia Comments