Mkali kutoka Tanzania Linah wiki iliyopita alifanikiwa kuachia video yake ya wimbo wake mpya unaoitwa No Stress video ambayo iliongozwa na moja kati ya Madirector wakali Afrika anaitwa God Father na mazingira yaliyoonekana kwenye video hiyo ni mazingira ya South Africa.
Mabibi na Mabwana Leo Aug 10 Linah katubariki na baadhi ya vipande vya hii video yake wakati inatengenezwa vilivyochukuliwa lakini haviko kwenye official video,ni dakika 4 za Behind the scene ya No stress.
https://www.youtube.com/watch?v=5FmVFIwO-4M
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>> Videos