Mix

Nape Nnauye kuhusu uteuzi wa leo wa Kamishna mpya wa kupambana na dawa za kulevya TZ

on

Sakata la dawa za kulevya na wenye tuhuma za ishu hiyo ndio habari inayozungumziwa sana kwa sasa Tanzania ambapo tumesikia kutoka kwa watu mbalimbali na sasa ni zamu ya Nape Nnauye, Waziri wa sanaa, utamaduni na michezo.

Leo Rais Magufuli amemteua Rogers William Sianga kuwa Kamishna mkuu wa Mamlaka ya kuzuia na kupambana na dawa za kulevya ambapo baada ya uteuzi huo, kupitia Twitter page yake Waziri Nape Nnauye ameyaandika yafuatayo.

“Uteuzi huu wa Mhe. Rais una ujumbe mkubwa sana kwenye vita dhidi ya Madawa ya kulevya! Hasa proper Co ordination ya Vita hii tukufu”


ULIPITWA? Tazama kwenye hii video hapa chini Rais Magufuli akiongea kuhusu sakata la dawa za kulevya juzi IKULU

Soma na hizi

Tupia Comments